Wednesday, March 15, 2017

WANANCHI WATOA MAONI KUELEKEA UCHIMBAJI VISIMA VYA JOTOARDHI MRADI WA NGOZI

Mtaalamu wa Sosholojia Bi. Vaileth Kimaro akizungumza na vikundi vya wanawake wakati wa kujibu maswali na kupokea maoni kuhusu athari na faida za mradi wa jotoardhi wa Ngozi kwa jamii na mazingira. 

Mhandisi Leonard Masanja (aliyesimama kushoto) akijibu hoja za wananchi wa Kata ya Ndanto wakati wa mjadala wa athari na faida za mradi wa jotoardhi wa Ngozi kwa jamii na mazingira, aliyeshika kipaza sauti ni Afisa Maendelea ya Jamii wa Wilaya ya Rungwe Bi. Rachel Mbelwa

WANANCHI WATOA MAONI KUELEKEA UCHIMBAJI VISIMA VYA JOTOARDHI MRADI WA NGOZI

Mtaalamu wa Sosholojia Bi. Vaileth Kimaro akizungumza na vikundi vya wanawake wakati wa kujibu maswali na kupokea maoni kuhusu athari na faida za mradi wa jotoardhi wa Ngozi kwa jamii na mazingira.

Wananchi wakitoa maoni kwa wataalamu kutoka TGDC na TANESCO wakati wa mkutano wa kujadili athari na faida za mradi wa jotoardhi wa Ngozi kweye mazingira na kwa jamii