Thursday, July 7, 2016

Naibu Katibu Mkuu akiwa katika banda la Nishati na Madini

Naibu Katibu Mkuu (Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof James Mdoe  
akitoa maelezo kwa Waandishi wa  Habari kuhusu mikakati ya Serikali kuhusiana na masuala ya uendelezaji wa Nishati na Madini kwa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini.

SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA SABASABA KWENYE BANDA LA KAMPUNI YA UENDELEZAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI

 Mhandisi Nyaso Makwaya.
akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.
 Mhandisi Nyaso Makwaya.
akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea  Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.

  Meneja wa Banda la kampuni  ya Jotoardhi.
akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea  Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.

  Meneja wa Banda la kampuni  ya Jotoardhi Ndg. Mershil Kivuyo.
akitoa maelezo ya awali kuhusu ushiriki wa TGDC kwenye maonesho ya sabasaba kwa Naibu katibu mkuu (Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof. James Mdoe.

 Mhandisi Ndg Nyaso Makwaya.
akitoa maelezo ya awali kuhusu ushiriki wa TGDC kwenye maonesho ya sabasaba kwa Naibu katibu mkuu(Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof James Mdoe   waliotembelea Banda la Maonesho.
 Meneja wa Banda la kampuni  ya Jotoardhi Ndg Mershil Kivuyo.
akitoa maelezo ya kina kuhusu uendelezaji wa nishati ya Jotoardhi kwenye maonesho ya sabasaba kwa Naibu katibu mkuu(Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof James  Mdoe   waliotembelea Banda la Maonesho.

 Naibu katibu mkuu(Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. James Mdoe  
akisaini kitabu cha mahudhulio katika  Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.
 wananchi waliotembelea Banda la kampuni ya uendelezaji jotoardhi 
siku ya kilele cha Maonesho ya sabasaba  tarehe 7/7/2016

SIKU YA NNE YA MAONESHO YA 40 KIBIASHARA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA KAMPUNI YA UENDELEZAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI IKIWA NI MOJA YA MAKAMPUNI YALIYOWEZA KUSHILIKI KIKAMILIFU KATIKA MAONESHO HAYO.

 Mhandisi Nyaso Makwaya 
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya  JOTOARDHI
  Mhandisi Nyaso Makwaya 
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya JOTOARDHI
  Mhandisi Nyaso Makwaya 
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la JOTOARDHI
 Afisa sayansi ya Jamii Ndg Eva Nyantori.
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya JOTOARDHI
  Afisa sayansi ya Jamii Ndg Eva Nyantori.
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya JOTOARDHI
  Afisa sayansi ya Jamii Ndg Eva Nyantori.
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya JOTOARDHI
  Mhandisi Nyaso Mukwaya.

  Meneja wa Banda Ndg Mershil Kivuyo.
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya JOTOARDHI
  Mhandisi Nyaso Mukwaya.
akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya JOTOARDHI
wataalamu kutoka kampuni ya Jotoardhi
Wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda.

Tuesday, July 5, 2016

MAONESHO YA 40 KIBIASHARA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA KAMPUNI YA UENDELEZAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI IKIWA NI MOJA YA MAKAMPUNI YALIYOWEZA KUSHILIKI KIKAMILIFU KATIKA MAONESHO HAYO.

 Banda la TGDC lilipo ndani ya Jengo la Wizara ya Nishati na Madini 
katika maonesho ya kibiashara ya 40 kwenye viwanja vya sababasa
 Engineer Boniface Njombe akitoa maelezo ya kina 
kuhusiana na Nishati ya Jotoardhi kwenye vyombo vya Habari
 Mhandisi Nyaso Makwaya 
akimuelezea mmoja ya mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
Mwananchi akipata ufafanuzi kuhusu uendelezaji wa nishati ya Jotoardhi hapa nchini na hatua iliyofikia.
  Mhandisi Boniface Njombe
akielezea wananchi waliotembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba

 Mhandisi Boniface Njombe
akimwelezea kijana aliyetembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi Mapema Jana Tarehe 04/07/2016 kwa furaha kabisa kijana akifurahia kuwepo kwa nishati hiyo kwani itapunguza kero za umeme majumbani wanamoishi

 Mwanasheria Mershil L. Kivuyo
akimwelezea mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
 Mwanasheria Mershil L. Kivuyo
akimwelezea mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba

 Mhandisi Boniface Njombe akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo (kushoto) ni kwa jinsi gani nishati hiyo ya Jotoardhi itakavyoweza kuongeza kiwango cha uchumi kwa watanzania na Serikali kwa ujumla wake.

 Mwanasheria  Mkuu wa Kampuni ya TGDC Mershil Kivuyo 
akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo (kulia) jinsi gani nishati ya jotoardhi ilivyokuwa inaumuhimu kwa watanzania kwa sasa na baadae.

 Moja wa watu wanahusika na Mazingira katika Kampuni ya Jotoardhi (TGDC) akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo jinsi ambavyo upatikanaji wa Nishati hiyo usivyokuwa na athali katika mazingira yetu.

Baadhi ya awananchi waliotembelea Banda letu la TGDC wakiwa na hali ya hamasa kuweza kuona nishati hiyo inapatikana hapa nchini kwetu Tanzania.