Thursday, July 7, 2016

SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA SABASABA KWENYE BANDA LA KAMPUNI YA UENDELEZAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI

 Mhandisi Nyaso Makwaya.
akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.
 Mhandisi Nyaso Makwaya.
akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea  Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.

  Meneja wa Banda la kampuni  ya Jotoardhi.
akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea  Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.

  Meneja wa Banda la kampuni  ya Jotoardhi Ndg. Mershil Kivuyo.
akitoa maelezo ya awali kuhusu ushiriki wa TGDC kwenye maonesho ya sabasaba kwa Naibu katibu mkuu (Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof. James Mdoe.

 Mhandisi Ndg Nyaso Makwaya.
akitoa maelezo ya awali kuhusu ushiriki wa TGDC kwenye maonesho ya sabasaba kwa Naibu katibu mkuu(Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof James Mdoe   waliotembelea Banda la Maonesho.
 Meneja wa Banda la kampuni  ya Jotoardhi Ndg Mershil Kivuyo.
akitoa maelezo ya kina kuhusu uendelezaji wa nishati ya Jotoardhi kwenye maonesho ya sabasaba kwa Naibu katibu mkuu(Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof James  Mdoe   waliotembelea Banda la Maonesho.

 Naibu katibu mkuu(Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. James Mdoe  
akisaini kitabu cha mahudhulio katika  Banda la kampuni ya uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi.
 wananchi waliotembelea Banda la kampuni ya uendelezaji jotoardhi 
siku ya kilele cha Maonesho ya sabasaba  tarehe 7/7/2016

No comments:

Post a Comment