Banda la TGDC lilipo ndani ya Jengo la Wizara ya Nishati na Madini
katika maonesho ya kibiashara ya 40 kwenye viwanja vya sababasa
Engineer Boniface Njombe akitoa maelezo ya kina
kuhusiana na Nishati ya Jotoardhi kwenye vyombo vya Habari
Mhandisi Nyaso Makwaya
akimuelezea mmoja ya mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
Mhandisi Boniface Njombe
akielezea wananchi waliotembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
Mhandisi Boniface Njombe
akimwelezea kijana aliyetembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi Mapema Jana Tarehe 04/07/2016 kwa furaha kabisa kijana akifurahia kuwepo kwa nishati hiyo kwani itapunguza kero za umeme majumbani wanamoishi
Mwanasheria Mershil L. Kivuyo
akimwelezea mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
Mwanasheria Mershil L. Kivuyo
akimwelezea mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
Mhandisi Boniface Njombe akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo (kushoto) ni kwa jinsi gani nishati hiyo ya Jotoardhi itakavyoweza kuongeza kiwango cha uchumi kwa watanzania na Serikali kwa ujumla wake.
Mwanasheria Mkuu wa Kampuni ya TGDC Mershil Kivuyo
akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo (kulia) jinsi gani nishati ya jotoardhi ilivyokuwa inaumuhimu kwa watanzania kwa sasa na baadae.
Afisa sayansi ya jamii Ndg Eva Nyantori wa Kampuni ya Jotoardhi (TGDC) akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo jinsi ambavyo upatikanaji wa Nishati hiyo usivyokuwa na athali katika mazingira.
Baadhi ya awananchi waliotembelea Banda letu la TGDC wakiwa na hali ya hamasa kuweza kuona nishati hiyo inapatikana hapa nchini kwetu Tanzania.
No comments:
Post a Comment