Tuesday, July 5, 2016

MAONESHO YA 40 KIBIASHARA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA KAMPUNI YA UENDELEZAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI IKIWA NI MOJA YA MAKAMPUNI YALIYOWEZA KUSHILIKI KIKAMILIFU KATIKA MAONESHO HAYO.

 Banda la TGDC lilipo ndani ya Jengo la Wizara ya Nishati na Madini 
katika maonesho ya kibiashara ya 40 kwenye viwanja vya sababasa
 Engineer Boniface Njombe akitoa maelezo ya kina 
kuhusiana na Nishati ya Jotoardhi kwenye vyombo vya Habari
 Mhandisi Nyaso Makwaya 
akimuelezea mmoja ya mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
Mwananchi akihitaji ufafanuzi zaidi wa upatikanaji wa nishati Jotoardhi.
  Mhandisi Boniface Njombe
akielezea wananchi waliotembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba


 Mhandisi Boniface Njombe
akimwelezea kijana aliyetembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi Mapema Jana Tarehe 04/07/2016 kwa furaha kabisa kijana akifurahia kuwepo kwa nishati hiyo kwani itapunguza kero za umeme majumbani wanamoishi

 Mwanasheria Mershil L. Kivuyo
akimwelezea mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba
 Mwanasheria Mershil L. Kivuyo
akimwelezea mwananchi alietembelea Banda la Maonesho ya Jotoardhi
katika viwanja vya sabasaba

 Mhandisi Boniface Njombe akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo (kushoto) ni kwa jinsi gani nishati hiyo ya Jotoardhi itakavyoweza kuongeza kiwango cha uchumi kwa watanzania na Serikali kwa ujumla wake.

 Mwanasheria  Mkuu wa Kampuni ya TGDC Mershil Kivuyo 
akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo (kulia) jinsi gani nishati ya jotoardhi ilivyokuwa inaumuhimu kwa watanzania kwa sasa na baadae.


 Moja wa watu wanahusika na Mazingira katika Kampuni ya Jotoardhi (TGDC) akimulezea Naibu Katibu Mkuu Nishati Dr. Eng Juliana Pellangyo jinsi ambavyo upatikanaji wa Nishati hiyo usivyokuwa na athali katika mazingira yetu.


Baadhi ya awananchi waliotembelea Banda letu la TGDC wakiwa na hali ya hamasa kuweza kuona nishati hiyo inapatikana hapa nchini kwetu Tanzania.

No comments:

Post a Comment