Thursday, July 7, 2016

Naibu Katibu Mkuu akiwa katika banda la Nishati na Madini

Naibu Katibu Mkuu (Madini) kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Prof James Mdoe  
akitoa maelezo kwa Waandishi wa  Habari kuhusu mikakati ya Serikali kuhusiana na masuala ya uendelezaji wa Nishati na Madini kwa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini.

No comments:

Post a Comment