Wednesday, August 10, 2016

Wafanyakazi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Kwa Pamoja wakishangilia Ushindi wa nafasi ya Pili(2) katika maonesho ya NANENANE yaliyofanyika kitaifa katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.

 Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini wakishangilia Ushindi wao.

Thursday, August 4, 2016

Wageni mbalimbali waliotembelea Banda letu la Maonesho ya nanenane siku ya Tarehe 04/08/2016

Mwenyekiti wa Body ya TPDC akielezea furaha yake kwa hatua iliyofikiwa na serikali katika uanzishwaji wa Kampuni ya uendezaji wa Nishati ya Jotoardhi Nchini.
Mheshimiwa Waziri wa TAMISEMI akitembelea Banda la Kampuni ya Jotoardhi akipokelewa na Meneja wa BAnda Ndg. Mershil Kivuyo katika Maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi.

Meneja wa Banda Ndg. Mershil Kivuyo akitoa Elimu kwa Mheshimiwa  Waziri wa TAMISEMI Mh. George Simbachawene juu ya matumizi mbalimbali ya Nishati ya Jotoardhi.

Wananchi akionesha furaha baada ya kupatiwa ufafanuzi juu ya matumizi ya mojakwamoja ya Nishati ya Jotoardhi kwa Mkulima ili kuinua kiwango cha Uchumi kwa Mtanzania

Mhandisi Nyaso Makwaya akitoa maelezo kwa wanafunzi waliotembelea Banda la Kampuni ya Jotoardhi kwaajili ya kujifunza zaidi kuhusiana na Nishati hiyo ikiwa ni pamoja na Matumizi ya mojakwamoja na pia kwaajili ya uzalishaji wa Umeme.

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA NANENANE KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

  Mhandisi wa matumizi ya mojakwamoja Ndg Helena Sezari kutoka katika kampuni ya nishati ya Jotoardhi akiwaelezea wananchi zaidi kuhusiana na jinsi nishati hiyo inavyoweza kuwasaidia katika ufugaji, kilimo na mambo mengine.
 
 Mhandisi Ndg Nyaso kutoka kampuni ya Uendelezaji wa nishati ya jotoardhi akitoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na nishati hiyo kwa wananchi wa Lindi waliotembelea maonesho ya NANENANE 
Mwananchi akifurahia upatikanaji wa nishati hiyo ya Jotoardhi ikiwa ni moja ya visababishi vya kuinua uchumi wa Taifa letu kwa ujumla.

Tuesday, August 2, 2016

Mhe. Prof Sospeter Mhongo akisoma hotuba katika uzinduzi wa Maonesho ya Nanenane 2016.

Mhe. Prof. Sospeter Mhongo Akisoma hotuba katika viwanja vya ngongo mkoani Lindi katika Maonesho ya Nanenane siku ya Tar. 01/08/2016.
Meneja wa banda Ndg. Meshiri Kivuyo akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Nishati na Madini juu ya hatua mbalimbali zilizofikiwa katika uendelezaji wa nishati ya Jotoardhi.

SIKU YA MAONESHO YA NANENANE

 wananchi wa mkoa wa lindi katika maonesho wa nanenane katika viwanja vya Ngongo