Thursday, August 4, 2016

Wageni mbalimbali waliotembelea Banda letu la Maonesho ya nanenane siku ya Tarehe 04/08/2016




Mwenyekiti wa Body ya TPDC akielezea furaha yake kwa hatua iliyofikiwa na serikali katika uanzishwaji wa Kampuni ya uendezaji wa Nishati ya Jotoardhi Nchini.
Mheshimiwa Waziri wa TAMISEMI akitembelea Banda la Kampuni ya Jotoardhi akipokelewa na Meneja wa BAnda Ndg. Mershil Kivuyo katika Maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi.





Meneja wa Banda Ndg. Mershil Kivuyo akitoa Elimu kwa Mheshimiwa  Waziri wa TAMISEMI Mh. George Simbachawene juu ya matumizi mbalimbali ya Nishati ya Jotoardhi.


Wananchi akionesha furaha baada ya kupatiwa ufafanuzi juu ya matumizi ya mojakwamoja ya Nishati ya Jotoardhi kwa Mkulima ili kuinua kiwango cha Uchumi kwa Mtanzania





Mhandisi Nyaso Makwaya akitoa maelezo kwa wanafunzi waliotembelea Banda la Kampuni ya Jotoardhi kwaajili ya kujifunza zaidi kuhusiana na Nishati hiyo ikiwa ni pamoja na Matumizi ya mojakwamoja na pia kwaajili ya uzalishaji wa Umeme.

No comments:

Post a Comment