Tuesday, August 2, 2016

UZINDUZI WA MAONESHO YA NANENANE KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI SIKU YA TAREHE 01/08/2016

Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa Prof. Sospeter Muhongo (Mb)  akiwa na Meneja wa Banda la kampuni ya uendelezaji wa nishati ya Jotoardhi (TGDC) katika ufunguzi wa maonesho ya nanenane mwaka 2016.

No comments:

Post a Comment