Thursday, August 4, 2016

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA NANENANE KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI


  Mhandisi wa matumizi ya mojakwamoja Ndg Helena Sezari kutoka katika kampuni ya nishati ya Jotoardhi akiwaelezea wananchi zaidi kuhusiana na jinsi nishati hiyo inavyoweza kuwasaidia katika ufugaji, kilimo na mambo mengine.
 


 Mhandisi Ndg Nyaso kutoka kampuni ya Uendelezaji wa nishati ya jotoardhi akitoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na nishati hiyo kwa wananchi wa Lindi waliotembelea maonesho ya NANENANE 
Mwananchi akifurahia upatikanaji wa nishati hiyo ya Jotoardhi ikiwa ni moja ya visababishi vya kuinua uchumi wa Taifa letu kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment